Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ni kweli. Huku siyo kawaida yetu kugombana. Tunaishi kwa amani sana. Tuvumiliane wapendwa !!!Huu Uzi sio wa kusutana, nenda MMU kwa wenzako kule
Ni kweli. Huku siyo kawaida yetu kugombana. Tunaishi kwa amani sana. Tuvumiliane wapendwa !!!Huu Uzi sio wa kusutana, nenda MMU kwa wenzako kule
Pole pole kamanda. Kwenye uzi huu huwa tunaishi kama ndugu na tunaheshimiana sana pamoja na utani mwingi. Ndiyo maana uzi huu umeweza kuvunja rekodi za kila aina. Tuvumiliane please!!!pokea ukweli japo mchungu mama kwa maana hakuna namna na ID's zenu fake basi mna fake kila kitu....hilo limethibitishwa 😎
Asante japo hatujui ni chakula gani
Mpaka hapa nahisi atakuwa kaelewa. Kamwene mambo uliyotaka kuyaleta humu sio mahala pake.Ni kweli. Huku siyo kawaida yetu kugombana. Tunaishi kwa amani sana. Tuvumiliane wapendwa !!!
We ulitakaje labla watu waishi kwenye uhalisia wao.pokea ukweli japo mchungu mama kwa maana hakuna namna na ID's zenu fake basi mna fake kila kitu....hilo limethibitishwa 😎
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]
Halafu sijui kwa nini lakini nahisi kama we ndo umekanyang'anya nywila. Hufai poti [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Haka ka Numbisa bado kameuchuna? Inabidi tukazukie huko Kamanga Ferry sasa! [emoji16]
Ankoo wangu mpendwa nina kudai....We ulitakaje labla watu waishi kwenye uhalisia wao.
Naomba nikumbushe mpendwa.Ankoo wangu mpendwa nina kudai....
Halafu sijui kwa nini lakini nahisi kama we ndo umekanyang'anya nywila. Hufai poti [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]