The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Halafu wewe si Yanga wewe TH?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzee baba, kijana wa zamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe bado mdogo sana kiumri, una mengi ya kujifunza kupitia uzi huu. Ukizingatia utanufaika kwa mambo mengi sana.Noted! Binafsi nimejifunza
Kila mtu na umuhimu wake... JIRANI kasemaHata ukipata nafasi huwezi kushindana na bint mpole, yeye ndiye kila kitu hapa na hasa akiwepo hapa na kijana mpole, aka mkatalunya, akiwepo ufalme wa himaya Uzwazilendi mambo huwa matamu hasa pia akiwepo TH.[emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Mapenzi ya mbali hovyo sana bro !!!
🙏🙏🙏🙏🙏🙏Mungu atupe siku njema