Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
JUMAMOSI iliyopita, Arsenal ilichapwa 3-1 ilipotia mguu Anfield, Mohamed Salah kapiga mbili, Joel Matip katupia moja, Unai Emery na chama lake wakaandika tena maumivu.
🤗🤗3.KUTOA ZAWADI:
kuna watu kupeana zawadi ni namna ya kuonyesha shukrani,kuthaminiwa kujaliwa mtu akimpa zawadi anaamin kwamba amemthamini na kumpa nafasi ya pekee wakati watu wengine zawadi kwao sio muhimu.