Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

5.KUGUSA/KUSHIKA.
kuna watu wanapenda kuguswa kushika mfano hata watoto wanapenda kubebwa kukumbatiwa,wengineo kushikana mikono nk.
Kikubwa ni kwamba watu hawana mahitaji sawa mtu anaweza kuwa na hayo yote kama lugha yake ya kuonyesha kupenda/kupendwa/kuthamini/kuthaminiwa na wengineo hata hawajui yeye anapenda kipi hapo juu vyote kimoja au kiwili au mtu mwingine anapenda nn,hivyo basi kwa kuuliza pia unaweza jua watu wengine wanapenda nini lakini kwa wewe binafsi unaweza tambua lugha yako ya mapenzi kwa
 
A.KUANGALIA TABIA ZAKO,unapenda vitu gani hasa au nini ukifanyiwa unahisi kuthaminika.
B.UNALALAMIKA JUU YA NINI,mfano mwenzi wako, wanao ,marafiki zako wasipofanya mambo gani unaona kama wamekukosea hawajakuonyesha thamani.
C.UNAAGIZA NINI,watu wakisafir wakitoka wakiwepo unapenda wakufanyie au wakuletee nin
Kwa kufanya hayo utajua lugha yako ya kuonyeshwa/kuonyesha mapenzi/thamani lakini pia utatambua lugha za wengine.
Lugha yako ya mapenzi ni ipi??hujaijua bado🤔🤔 fanya kazi upate kuijua.
 
FB_IMG_1567074025850.jpeg
 
Back
Top Bottom