Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ina miliki gram 9.2 za kabohaidreti, Gram 5.2 za Protini na Vitamini E, B6 pamoja na Gram 9.5 za vitamini K, Gram 10 za madimu ya ”Calcium” mbali na madini hayo ina umiliki mkubwa wa madini ya Zinki, Magneziam, Potasiam, kopa, na Asidi ya Folik.