Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

hahahahahaha

Salama bro,habari za kwako?familia haijambo huko?

Send Off/Kitchen party nyingi zinafanyika siku ya alhamis na Europa league michezo yake inapigwa siku ya alhamis hahah
hahahahahahahah,

Nimekusoma mzee mwenzake.Aisee, huku ni kwema kabisa.Pilika ni nyingi ila namshukuru Mungu.
Wanasema tushukuru kwa kila jambo na kweli hatuna budi kufanya hivyo.

Vipi chuo mnarudi lini??hahahahah
 
FB_IMG_1567103545405.jpeg
 
Back
Top Bottom