Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Smartphone itakutwa battery ishakua udongo
FB_IMG_1567140692358.jpeg
 
hahahahahahahah,

Nimekusoma mzee mwenzake.Aisee, huku ni kwema kabisa.Pilika ni nyingi ila namshukuru Mungu.
Wanasema tushukuru kwa kila jambo na kweli hatuna budi kufanya hivyo.

Vipi chuo mnarudi lini??hahahahah
Hahahaha

Kikubwa uzima bro..

Chuo november mzee mwenzangu,baada ya kumaliza vikao vya september (sapilimentari) hahaha

Uwe na ijumaa njema bro[emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom