Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Kwani kuna nini?Wafuasi wa king polen
Congrats VVD
hahahahahahahah,Halafu nilikuwa nimesahau kama United hatupo..huwez amini nmepitia yale makundi yote baadae ndio nakumbuka sasa hv tupo kwenye Send Off League(europa league)
Numbisa
[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1193032
hahahahahahahahahahahSalama kidogo aah ballon
Asante
#natamaniandunjeakose
#ningekuamzeewaliverningeminyamananiliii
hahahahahahahahahahahahahah,
Salama huko?
#KwambaMmerushiwaUaSio[emoji23][emoji23][emoji23]
Haha kuhusu hilo hata usijari..ugeni mzito huu utakuwa hahahaAhadi ni deni nitafurahi sana kama utafika uje na wawili wote iliwezekana wifi yangu[emoji12]
hahahahahahahah,hahahahahaha
Salama bro,habari za kwako?familia haijambo huko?
Send Off/Kitchen party nyingi zinafanyika siku ya alhamis na Europa league michezo yake inapigwa siku ya alhamis hahah
Kuna maandalizi ya ballon d or December hukoKwani kuna nini?
Hahahahaha ninge una vituko weweHalafu nilikuwa nimesahau kama United hatupo..huwez amini nmepitia yale makundi yote baadae ndio nakumbuka sasa hv tupo kwenye Send Off League(europa league)
Numbisa
[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1193032
Habari za Burigi,Hahahahahaha
#mzeewalivernishida
Salama kabisa.Habari za Burigi,
Umetunyima nini huko.
Siunatununulia tuu.Salama kabisa.
Tumewanyima viazi,mihogo,karoti nyanya ila vyote vinauzwa ujue
Hela hamna jamani,namba tunazisoma mpakaSiunatununulia tuu.
#NasubiriaShuhudaTuu
Hamna bana, huwa naongea.Hela hamna jamani,namba tunazisoma mpaka
#kinghafai
#ulikuagakabubuflanihivi
Sio kivile bora jirani huwa anaweka mafumbo yakeHamna bana, huwa naongea.
#hatutakiManenoLetaShuhuda
Sio kivile bora jirani huwa anaweka mafumbo yake
#cheiiiujimtaaamuuu