BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Nadhani anaongelea jana/juzi kwenye ile sredi ya jamaa wa kutupia japo neno moja kwa eksi...
Utamuweza mpendwa Hawachi wewe? [emoji16][emoji16][emoji16]
Kama hata wewe Simba umetoa machozi kwenye ule uzi sisi "swala" nahisi shuhuda zetu ni kuzira kabisa.Inatokeaga [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1194996
Sasa kamezeeka ila bado motooo kwa mnaopenda vimbaumbauWHOA!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Hawachi bana...Kama hata wewe Simba umetoa machozi kwenye ule uzi sisi "swala" nahisi shuhuda zetu ni kuzira kabisa.