Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Weekend njema
Sasa huwa unaishije hapa Bongo?No body likes lawama.
Me lawama zinaweza niliza siku nzima!
HahahahaMabaharia ndio ambao tutaelewa kifuatacho[emoji123][emoji123]View attachment 1194973
Na kwako pia Mpendwa Hawachi [emoji870][emoji870][emoji870]Weekend njema
Aaaaarghh...Mzee baba hata wewe huwa unalia nilishangaa hata BAK nae poleni aisee.
Nadhani anaongelea jana/juzi kwenye ile sredi ya jamaa wa kutupia japo neno moja kwa eksi...Kulia kuhusu nini? Mbona swali langu hujajibu? [emoji12][emoji12][emoji12]
Si ule uzi wa kutoa ya moyoni umesahau 😜😜Kulia kuhusu nini? Mbona swali langu hujajibu? 😜😜😜