Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

"Nina uhakika mkubwa anakwenda kufanya vizuri kwa sababu namna ambavyo Inter wanacheza, unaonekana na mchezo wake. Kucheza karibu na Romelu Lukaku kwenye fowadi, naamini atakwenda kuwa na wakati mzuri huko Milan."
Guardiola alisema Sanchez hakupaswa hata chembe kubebeshwa lawama, kwa sababu soka ni mchezo wa timu na si mtu mmoja mmoja.
 
Staa mwingine aliyenaswa mwaka huu, Ryan Sessegnon naye atasubiri kuona kama atapata nafasi ya kuanza kuitumikia timu hiyo baada ya sasa kusumbuliwa na maumivu ya misuli. Pochettino kichwa kinampasuka juu ya beki wa kulia, ambapo kuumia kwa Walker-Peters na kutokuwamo kwa Kieran Trippier, aliyetimkia zake Atletico Madrid kunamfanya abaki na huduma ya Serge Aurier pekee.
 
Kocha wa Arsenal, Unai Emery atakuwa na chama lake matata kabisa akijaribu kurudi kwenye ushindi baada ya kupoteza mechi iliyopita alipochapwa 3-1 na Liverpool huko Anfield. Spurs nao walipoteza mechi yao iliyopita mbele ya Newcastle United, hivyo wanafanya mechi hiyo ya leo kuwa ya kibabe zaidi.
 
Mabaharia
IMG_20190901_103413.jpeg
 
Back
Top Bottom