Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,500
- 13,145
Ulikutana na nani anatembea hvyo? 🙄
Yupo jembekillo katulizana humo hahahaaIgnore list yako inasomaje kwa sasa? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Kwa ajili ya limdomo lake baya la kwenye avatar ama? Ulimlalamikia sana lakini jamaa naona kauchuna tu...Yupo jembekillo katulizana humo hahahaa
Wapare bana dah [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Dunia hii we acha tu. Eti jamaa walikwenda kumtongoza...![]()
From gay confession: nawashukuru sana wana jf ila sina budi - JamiiForums
Hello jf members, ni miezi minne imepita toka niweke uzi wangu https://www.jamiiforums.com/threads/i-am-gay-nimechoka-kuhukumiwa-kwa-kosa-lisilo-langu.1572460/ Kiukweli ilikuwa edge mbaya kwenye maisha yangu ambayo nilidumu nayo kwa miaka kabla kuja kuisema humu. Nilikuwa nimechanganyikiwa...www.jamiiforums.com