Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wewe hujiachii kama wale. Mada zao za mara kwa mara na zenye mlengo mmoja. Comments zao zile zile...Manengelo hasa hasa kwenye ujasiriamali na Demiss kwenye zile ishu zake...Wewe siyo rahisi kuku-categorize....Me mbona hamjajua hadi najisema[emoji23]