Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nimeshamgundua tayari. Ni Felister huyu ananichezea akili tu...Huyu ni member mzoefu kabadili I'd [emoji2][emoji2][emoji2]
Nimeshamgundua tayari. Ni Felister huyu ananichezea akili tu...Huyu ni member mzoefu kabadili I'd [emoji2][emoji2][emoji2]
Am sorry bro 😂🏃Kumbe umebadili ID. Umenichanganya bure dadeki. Hufai haki ya nani [emoji16][emoji16][emoji16]
Nilijua ila why dear umeamua hivyo 😃😃😃😃😂😂😂😂😂 sawa mkuu ila Felister anakusalimia
Huyu ni member mzoefu kabadili I'd 😃😃😃
U mzima wewe 😃😃Haha nakusalimia mama
Mzima kabisa, habari ya jumapili?U mzima wewe 😃😃
Tutegemee nini kwenye hili jina jipya? Depal anatofautiana kivipi na Felister tuliyekuwa tumemzoea?Am sorry bro [emoji23][emoji125]
Nimeamua kuliacha jina langu libaki linatumika huku kwenye uhalisia tu
Duh paja lake Sawa na tumwili changu
Ukitajiwa na mimi nitajie PM [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Naomba nitajie I'd ya Manengelo mpya na Demiss [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]hata pm njoo
She is perfect...Duh paja lake Sawa na tumwili changu
😂😂😂 manengelo atakuwa busy na familia tu, ila demiss nahisi yupo tu anatuchoraNaomba nitajie I'd ya Manengelo mpya na Demiss 😃😃😃😃hata pm njoo
Me mbona hamjajua hadi najisema😂Ukitajiwa na mimi nitajie PM [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji3591][emoji3591] Hawa wakirudi hawawezi kujificha kutokana na uandishi wao hata wajifiche namna gani. Njemba zitawagundua tu..
Ujue toka Jana najiuliza huyu mgeni mbona kachangamka hivi 😃😃😃😃Ukitajiwa na mimi nitajie PM [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji3591][emoji3591] Hawa wakirudi hawawezi kujificha kutokana na uandishi wao hata wajifiche namna gani. Njemba zitawagundua tu..
Kuna member mpya na uhakika asilimia 60 ni Demiss.Me mbona hamjajua hadi najisema😂