andjul kamanda karibia hukuUshindwe na ulegeee in Jesus name
Hahhahaa usiwe na wasi wasiWacha nikae mbali msije nivunjia kimeo changu na vita yenu!!
[emoji23] [emoji23]Vita vya 10 vya uzi naviona
WarShimba wangu [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
soon tunaweka rekodi hapa JfNaona uzi unapanganika katika rekodi
Koh kohKwa majina kama unavyo lisoma hapo.
Kwa sura nadhani avatar ipo clear maana sura ya mtu utambuliwa na macho
Sema baby. Nimechelewa kidogo. Will be there soon. Nina zawadi nzuri....[emoji8][emoji8][emoji8]Shimba wangu [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
HahaaHizi ahadi unaomba kupigiwa kura
Napo umeona kichwa
War[emoji375] [emoji379] [emoji378] [emoji418] [emoji486]Always babe. I can take a bullet for you...
Tangaza tu. Ikibidi ita na totoz zako zote zije zikusaidie kupambana! [emoji23][emoji23][emoji23]Natangaza vita.
[emoji8][emoji7] [emoji7]
[emoji23] [emoji23]Kuna Bwana mmoja eti anajitangaza mgeni humu loh!
Kwa asiyemjua huyo anakwenda kwa jina lambalamba kuweni makini.
Amen baby. Unanifurahisha sana dah!Ushindwe na ulegeee in Jesus name
Shimba ya buyenze babe dirty head anataka kuanzisha war njoo
Matunda ya mtandao maana hutoki ukiwa mtupuUmeenda kwenye ile shughuli kujifunza funza live? Safi sana. Na mimi karibu nitapita mitaa hiyo kumwona mtaalamu QUIGLEY. Na hii ndiyo faida ya hii mitandao...
Inawezekana aisee!Mimi ndo mbaya wenu ninaye wabomoa na kuwajenga
Nakusikiliza babe!Shimba ya buyenze