Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Ndio nimefika kiongozi wanguMkuu chizi likes upo salama mkuu?
Naona bado unendesha gurudumu
Kwema lakini mzazi
Ndio nimefika kiongozi wanguMkuu chizi likes upo salama mkuu?
Naona bado unendesha gurudumu
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Penda sana weye
Nipo babe. Hii mijibaba ya hapa ipo desperate inaweza hata kuharibu penzi letu tamu chanuzi. Nikiwa mkali sana basi nisamehe tu lakini nitapigana kufa na kupona ili kukulinda baby. Much love!
[emoji7] [emoji7]Penda sana weye
HahahahaUnanitisha mkuuu naomba usifanye hivyo
Always babe. I can take a bullet for you...Asantee babe kwa kunilinda
Hahahahah daah company nzuri sana hiyoNipo na mkuu Quigley A town baridi balaaa
AmenLiko lango moja wazi
Ni lango la mbinguni
Kwa wote wapitao
Watapata nafai
Lango ndiye Yesu bwana
Wote waingie kwake
Lango lango lango lango
Lango ni la mbinguni
Amani ya bwana iwe nanyi
Hakuna nomaLeo naingia kmy kmy
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]sammyluv
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15][emoji7] [emoji7]
Kuna video nimeiona ukurasa wa jf wamei upload...ndo yeye muhusika wa ile kitu?Umeenda kwenye ile shughuli kujifunza funza live? Safi sana. Na mimi karibu nitapita mitaa hiyo kumwona mtaalamu QUIGLEY. Na hii ndiyo faida ya hii mitandao...
Tenzi za rohoni ni wimbo number...Liko lango moja wazi
Ni lango la mbinguni
Kwa wote wapitao
Watapata nafai
Lango ndiye Yesu bwana
Wote waingie kwake
Lango lango lango lango
Lango ni la mbinguni
Amani ya bwana iwe nanyi
Naomba unisaidie wageni tufahamiane ila sio nyie wenyejiEti mgeni. Si ajabu umenusa totoz mpya [emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahahaKweliii dirty head
Shimba wangu [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Always babe. I can take a bullet for you...![]()
Ur worst enemy could be ur best friend and ur best friend ur worst enemy.Adui mpende leo, yawezekana mkawa rafiki kesho.
Vita vya 10 vya uzi navionaNimeonaaa