Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kama wote hawa umewagaragaza, ni haki yako kuwa na ki-balcony mkuuMwisho nimeshinda vita,
Nimehangaika sana na vijana,
Nilianza na kichwa kichafu nikadondosha chini,
Akaja Andjul anaweweseka najua huo ndo mwisho wake,
Kuna mtu anaitwa Uniq alikuwa na roho ngumu sana lakini tunakoelekea hataibuka tena kwani ameanza kuonekana kwenye zizi la mheshimiwa flani,
Wiki jana alioneka mmoja anaitwa bigpapa gari lake likaishiwa mafuta mara kwa mara akiwa njiani kwenda kwa babe s akajitoa mapema!
Kwa nini nisifuge kitambi kwa kuwa njia nyeupeeeee.
Haahahahaaa