Hangaika na mkeo na michepuko yako. Achana na wake za watu. Kitakachokupata hutakaa usahau !
Itachukua muda sana kumueleweshaView attachment 536191 View attachment 536190 View attachment 536190
Wewe mimi sio gaidi
Mimi ni Goddess Isis
The great white shark - one of the most effective predator that nature has ever created!Nin hicho
carbamazepine[emoji125] [emoji125] [emoji125]Mwisho nimeshinda vita,
Nimehangaika sana na vijana,
Nilianza na kichwa kichafu nikadondosha chini,
Akaja Andjul anaweweseka najua huo ndo mwisho wake,
Kuna mtu anaitwa Uniq alikuwa na roho ngumu sana lakini tunakoelekea hataibuka tena kwani ameanza kuonekana kwenye zizi la mheshimiwa flani,
Wiki jana alioneka mmoja anaitwa bigpapa gari lake likaishiwa mafuta mara kwa mara akiwa njiani kwenda kwa babe s akajitoa mapema!
Kwa nini nisifuge kitambi kwa kuwa njia nyeupeeeee.
Haahahahaaa
Umeona ehh hahahahaItachukua muda sana kumuelewesha
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unataka kuchanwa eeh??muite nsamaka aje