Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Boeing moja ya Air Tanzania zamani kidogo napanda nikaona rundo la nyaya karibu na mlango kwa ndani limefungwa kwa rubber band. Nikasema ooops...
a03d1a6e5dec3d6a4ffc4daed61afb08.jpg
 
Mwisho nimeshinda vita,
Nimehangaika sana na vijana,
Nilianza na kichwa kichafu nikadondosha chini,
Akaja Andjul anaweweseka najua huo ndo mwisho wake,
Kuna mtu anaitwa Uniq alikuwa na roho ngumu sana lakini tunakoelekea hataibuka tena kwani ameanza kuonekana kwenye zizi la mheshimiwa flani,
Wiki jana alioneka mmoja anaitwa bigpapa gari lake likaishiwa mafuta mara kwa mara akiwa njiani kwenda kwa babe s akajitoa mapema!
Kwa nini nisifuge kitambi kwa kuwa njia nyeupeeeee.
Haahahahaaa
 
Cool
 
Back
Top Bottom