The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
An open enemy is better than a false friend.
Natangaza vita.Nipo babe. Hii mijibaba ya hapa ipo desperate inaweza hata kuharibu penzi letu tamu chanuzi. Nikiwa mkali sana basi nisamehe tu lakini nitapigana kufa na kupona ili kukulinda baby. Much love!
babe S wakupotea na kurudiHahahahaha ah......
Ushindwe na ulegeee in Jesus nameNatangaza vita.
Wacha nikae mbali msije nivunjia kimeo changu na vita yenu!!Natangaza vita.
Hahahahaha kitambi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama wote hawa umewagaragaza, ni haki yako kuwa na ki-balcony mkuu![]()
Kuna ujio mpya naona!Naomba unisaidie wageni tufahamiane ila sio nyie wenyeji
Hizi ahadi unaomba kupigiwa kuraBabe s kuanzia kesho nakuahidi kitu cha kwanza utapata like 1,000!
Kisha mambo mengine siri yetu
Makonyeza!Kwa majina kama unavyo lisoma hapo.
Kwa sura nadhani avatar ipo clear maana sura ya mtu utambuliwa na macho
Kuelimisha chiziItachukua muda sana kumuelewesha