Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Busara, sidhani kama ni wa kwanza kukwambia au nitakua wa mwisho.Mara nyingi jambo la ukweli litathibitishwa na watu wawili au zaidi(wasiojuana au wanaojuana ila bila kuambiana).Unajua kuwasilisha jambo na pia una uwezo mzuri wa kushauri jambo.

Haya mengine ya tabia zetu, hizi ID feki n.k ni vigumu kumjua mtu kiuhalisia.
 
100% ni utani hapa bro. Sote hapa tunakamilishana. Kama anavyosemaga jirani kila mtu ana umuhimu wake. Na hii ndiyo nguvu na siri kubwa ya uzi huu.

Umekaa kifsalsafa falsafa sana wewe na katika ucheshi, utani na hata hashtags zako huwa mmefichwa ujumbe mzito, ucheshi na busara za kutosha. Huwa nafurahia sana.

Tuendeleeni kucheka, kutaniana na kufurahi bro. Uzi huu kwangu ni darasa na nimejifunza mengi sana hapa; na bado naendelea kujifunza....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…