Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyu Dorian ameleta zahama huko Bahamas. Huku kwetu shwari kabisa, BBQ kwa kwenda mbele. Jamaa wa jumba jeupe asivyojua mambo akawatishia mpaka watu wa Alabama eti itawakumba, National Weather Center wakakanusha; wakawaambia watu wa Alabama kuwa hiyo kitu iko mbali huko, Far East. Sasa sijui yule mkubwa alichanganya Alabama na Bahamas. [emoji16][emoji16][emoji16]... Yule jamaa bomu sana aisee!
The Magufulification of the ole USA...

Hovyo kabisa !!!
 
FB_IMG_1567467587211.jpeg
 
Back
Top Bottom