moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Uko wapi Wewe. Japan ama? Wenzio saa saba za usiku kwako kumeshakucha?
Utamu unakuzidiana nahisi kwenu zaidi. Asione Bradha hii comment [emoji2][emoji2][emoji2]
Wapendwa baadaye. Usiku mwema na Mungu Awalinde. Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1196193
Wewe ndiye binti yangu machachari?!!!
Aisee!!!
Ukibahatisha kakimbaumbau kenye gubu na kisirani ndo utaifaudu ndoa aisee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]