Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
ππ na kwanini ugune?! Kipindi cha mapumziko kwani hukijui?Salamu zimefika ila hapo nilikua nimeguma kisukuma.
Haya bana. Half time bila shaka ishakaribia kwisha anyway na kipenga cha second half karibu kitalia. Good luck [emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870]Nikiamka nitafungua
Akeshe wapi? Ana majukumu huyo...Si ajabu naye kaitwa. Labda tumsubiri wakati wa half time [emoji16][emoji16][emoji16]Nilidhani tunakesha leo?
Nimevaa wigi wapi?Naona umevaa wigi leo.Kunani?
ππππ yeah! Soon narudi mzigoniHaya bana. Half time bila shaka ishakaribia kwisha anyway na kipenga cha second half karibu kitalia. Good luck [emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870]
Haya bana. Half time bila shaka ishakaribia kwisha anyway na kipenga cha second half karibu kitalia. Good luck [emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870]
Can't wait βUtanishtua kesho for cappuccino.
Akeshe wapi? Ana majukumu huyo...Si ajabu naye kaitwa. Labda tumsubiri wakati wa half time [emoji16][emoji16][emoji16]
Hebu nifungulie PM nikuulize kitu. Mzigo utasubiri kidogo...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yeah! Soon narudi mzigoni
Wale jamaa wa kuchomoa betri za akina Demiss ndiyo wametuharibia aisee. Mabinti wote wamefunga PM zao. Yaani hovyo kabisa !!!Kakifungua PM unitag please. Nataka nikasalimie tu! [emoji16][emoji16][emoji1493]β[emoji3603][emoji1493]β[emoji3603][emoji1493]β[emoji3603]
Wale jamaa wa kuchomoa betri za akina Demiss ndiyo wametuharibia aisee. Mabinti wote wamefunga PM zao. Yaani hovyo kabisa !!!
Na kwako pia.Wapendwa baadaye. Usiku mwema na Mungu Awalinde. Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1196193
Ukinifungulia PM siondoki. Tunakesha [emoji16][emoji16][emoji16]Na kwako pia.
Wapendwa baadaye. Usiku mwema na Mungu Awalinde. Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1196193
Nmeshakuja kaangalieUkinifungulia PM siondoki. Tunakesha [emoji16][emoji16][emoji16]
Huku ni furaha tupu. Tulikuwa kwenye target ya kimbunga Dorian. Yaani hapa nina maji, mamikate, tochi, jenereta ndogo na maandalizi mengine lakini bahati nzuri naona kimekata kona kwenda kuwasalimia huko South Carolina na Georgia. Ni furaha tupu yaani. Huko kwako vipi? Nyama umechoma? Balimi zipo?View attachment 1196194
Vipi kwako huko?
Rudi tu mzigoni kwa kweli. Miye nakutakia kila la heri. Tena mechi hiyo ikatuletee tumapacha aidentiko kabisa ikiwezekana [emoji16][emoji16][emoji16]Nmeshakuja kaangalie
Ila me narudi mzigoni muda sio mrefu [emoji124]
Huku ni furaha tupu. Tulikuwa kwenye target ya kimbunga Dorian. Yaani hapa nina maji, mamikate, tochi, jenereta ndogo na maandalizi mengine lakini bahati nzuri naona kimekata kona kwenda kuwasalimia huko South Carolina na Georgia. Ni furaha tupu yaani. Huko kwako vipi? Nyama umechoma? Balimi zipo?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mzee wa liver shwaini zake popote alipoHata wewe mbu unawakimbiaga na kwenda kule kwenye baridi ambako mbu hawawezi kusavaivu...
Hiyo biashara inalipa nasikia...Halafu sijui kwa nini nimemkumbuka yule mzee mwingine ambaye yeye ya kwake huwa anayaminya timu yake inapocheza ili wasifungwe [emoji16][emoji16][emoji16]