Ibra tiger
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 294
- 717
Alhamdulill
Alhamdulillah
Alhamdulillah
Naona furaha tele asubuhi ya leo[emoji23][emoji23].
Kwema, hali yako
Tutakesha Ijumaa bro.Nilidhani tunakesha leo?
Naona furaha tele asubuhi ya leo
Alhamdulill
Alhamdulillah
hahahahahahahahah, ankoo naogopa kuhukumu nisije nikahukumiwa pia.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] unanihukumu ankoo
Safi moud, za siku mbili, tatu.?TH mambo
Kichwa cha felista lakini naona nywele za Depal.Nimevaa wigi wapi?
hahahahahahahah, kwahiyo ulikua unakunywa maji sio.😂😂 na kwanini ugune?! Kipindi cha mapumziko kwani hukijui?
Huku salama kabisa.Ahsante binti yangu. Kumekucha salama.
Vipi, kwema huko?
Nimeipenda hii "nguo" yako mpya, usiichafue ikawa kama ile ya zamani. Sawa mama?
Uwe na siku njema.
🏃 ndiohahahahahahahah, kwahiyo ulikua unakunywa maji sio.
Aisee, siku njema huko.
Sister The HappinessSafi moud, za siku mbili, tatu.?
Salama Bradha kaka, nimekuwa mtoro siku mbili tatu nalipa madeni kidogo kidogo...
Safi moud, za siku mbili, tatu.?
Duh!Elephants islandView attachment 1196394
Nawe utoe pia...Naombeni like tano wakuu