Unampa moyo hivi vita si vya mchezo mchezoRelax baby. Viuma hivi visikutishe. Mi nina AK 47...Relax baby...
Hahahaa! Sawa mgeni pita mpaka ndani ila viatu viache huko nje mlangoni,tukupe juice au chai? Au tukupe juice kwanza wakati unasubiri chai ichemke?Nimeingia jana humu sijui wewe lini
Kazi kusema tu war war war kama dogo mwenye kiduku kutoka N. KOREA. Kama una ubavu si anzisha basi hiyo vita! Talk is cheap son. Andjul unayemwita si ajabu yupo na Sammyluv sasa hivi [emoji23][emoji23][emoji23]War war war [emoji375] [emoji375] [emoji375] [emoji375]
Oh pole sana ndugu yangu!I mic her
HahahahaHahahaa! Sawa mgeni pita mpaka ndani ila viatu viache huko nje mlangoni,tukupe juice au chai? Au tukupe juice kwanza wakati unasubiri chai ichemke?
Nimetulia mama ukweli wote nitakwambia.Doooh!nilijua umetulia kumbe doooh![emoji24] [emoji24] [emoji24]
Utaratibu hatuna ila tuna uharaka tu!Naomba utaratibu wenu humu
Huyu ni mtembea popote!Umeanza kumnyemelea jakitoo tena?sammyluv humyaki tena?
Mzee mwenzangu kweli babe S kakuroga vizuri sana nimependa.Kidogo moyo ulipuke baada ya kuona mwanzo babe.
OkNitarudi baadae
Sawa babe naifunga sasahv chaapHawezi kitu huyo. Asione haya majina haya tunayotumia. Wengine ni simba kweli and he is just a toothless dog. Let him bark vimada wake wakimpa matonge atatulia. Tena akizidi nitakuomba uifunge PM yako ili nipambane naye hapa hapa laivu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kazi kweli kweliKazi kusema tu war war war kama dogo mwenye kiduku kutoka N. KOREA. Kama una ubavu si anzisha basi hiyo vita! Talk is cheap son. Andjul unayemwita si ajabu yupo na Sammyluv sasa hivi [emoji23][emoji23][emoji23]
Kelele za chura tuu hizi... we[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]Muite haraka maana hivi vita hamna mchezo kabisa
Ndioo shimba wanguUshakoga kwani?