Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Tumeumbwa katika maisha ya kutegemeana. Kila mmoja anamhitaji mwenzake ili maisha yake yawe bora. Daktari hawi daktari ilia je ajitibu yeye ila ni kwa ajili ya maisha ya wengine.
[emoji818][emoji818]
Kweli...Maisha yako hapa duniani ni kwa ajili ya wengine. Haiwezekani ukaishi maisha ya furaha na Amani kama hakuna unachokifanya kwa ajili ya kugusa maisha ya wengine.