Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_5032.JPG
 
Utakapofika baharini, watu, badala ya kusema umebarikiwa, watasema umelaaniwa, badala ya kukuita malaika, watakuita shetani. Mafanikio hayapimwi kwa pesa au mali kiasi gani unayo, mafanikio yanapimwa kwa amani ya moyo au maisha ya watu kiasi gani umeboresha.”
Na huu ndio msingi wa maisha ya furaha hapa duniani. Amani ya NAFSI ndio utajiri pekee hapa duniani usio na hofu ya kuishi wala kifo.
Ubarikiwe sana mkuu NENO hili [emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom