myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
That's lifeView attachment 1197170
Salam jirani, uwe na siku njema.Salam kwenu...
Ahsante, na kwako pia.Niwatakie siku njema na majukumu mema.
Mimi mkeka wangu anao Djokovic.
Na huu ndio msingi wa maisha ya furaha hapa duniani. Amani ya NAFSI ndio utajiri pekee hapa duniani usio na hofu ya kuishi wala kifo.Utakapofika baharini, watu, badala ya kusema umebarikiwa, watasema umelaaniwa, badala ya kukuita malaika, watakuita shetani. Mafanikio hayapimwi kwa pesa au mali kiasi gani unayo, mafanikio yanapimwa kwa amani ya moyo au maisha ya watu kiasi gani umeboresha.”
Watoto wa Malkia ni shida sana...hawana ubavu wa kutamba njee na England[emoji706]Mshambuliaji wa Borussia Dortmund Jadon Sancho, 19, yuko radhi kuhamia Manchester United baada kukiri kuwa "angelipendelea" kurejea England. (Mirror)
I see me 🏃View attachment 1197171
Mabus ya mkoani mbona ukipigaga simu kuweka order unaomba seat ya dirishani?aaaah me naona kama ni nature tu ukiingia kwenye chombo chochote cha usafiri watu wote hupendelea kukaa siti za dirishani haijalishi unapenda au hupendi kusafiri na wengine