Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1567606583391.jpeg
 
#Kwa_taarifa_yako! Kampuni ya #Apple imetambulisha bidhaa yake ya pete maalum za ndoa ambazo inadaiwa zitapunguza kwa kiasi kikubwa usaliti ndani ya ndoa. Pete hizo zina uwezo wa kumfanya mwanadoa kujua wapi alipo mwanandoa mwezake na hata kama itavuliwa kidoleni mwenza wako atajulishwa kwa kupitia mfumo uliounganishwa pete na simu yake ya mkononi! Wajuzi wa mambo wamezipa jina pete hizo na kuziita #no_marriage_betrayal_anymore!
#je! Upo rayari kuvishwa pete hii na mume au mpenzi wako?
 
Back
Top Bottom