Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Hatari sana haya mambo.Sipatii picha wageni walivyo na woga mitaa ya SA.Serikali ya nchi hiyo inashangaza Dunia, hakuna serikali inayoshindwa mbele ya wahalifu, ndiyo maana wanigeria wamejiongeza.
Hebu mwangalie huyo baharia hapo nyuma alivyopumbaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Saa tisa usiku. Rudi ukauchape Binti Mpole [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Kocha Unai Emery amepiga bei kuanzia kipa David Ospina, aliyekuwa akilipwa Pauni 40,000 kwa wiki hadi mshambuliaji Danny Welbeck, aliyekuwa akipokea Pauni 125,000 kwenye mshahara wake wa wiki.