umegeuka mkulima aliyeiweka kizuizini ndege ya
joni joni no papa, kwa kuanzisha kwako vita usiokuwa na uhakika wa kushinda.
hata mimi hiyo lugha pia nipo ovyo kuliko juisi ilioharibika bibieeee
ok kwa msaada wa tovuti, samahani kama itakuwa nimekuchosha kwa hili porojo langu.
formal speech: aina hii ya uzungumzaji inatumika pale unapozungumza na mtu aliyejuu zaidi yako either cheo, umri au pindi unapozungumza na mteja (customer). Huku kwetu si ajabu kumkuta muuza duka anamwambia mteja wake
wewe fala unataka mchele kiasi gani?
mara nyingi formal speech wanamalizia neno
yo kwa baadhi ya maneno.
kwa mfano an-nyeong-ha-se-yo
how are you?
Eo-tteoh-ke Ji-nae-se-yo?
| I am fine | 저는 잘 지냈어요 | Jeo-neun Jal Ji-nae-sseo-yo |
| I am not fine | 저는 잘 못 지냈어요 | Jeo-neun Jal Mot Ji-nae-sseo-yo |
informal speech: unapozungumza na rafiki, family, uliyemzidi umri au elimu.
Eo-tteoh-ke Ji-nae?
I am fine | 나는 잘 지냈어 | Na-neun Jal Ji-nae-sseo |
| I am not fine | 나는 잘 못 지냈어 | Na-neun Jal Mot Ji-nae-sseo |
kwa msaada wa gogoli le translatori from kolomijee