Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Poleni,
Mwenyezi Mungu ajaalie vipite salama[emoji120][emoji120]
 
Kwa mara ya mwisho nilifanya 3yrs ago, badaye mwaka huu nitafanya huo mchakato Mungu akipenda [emoji120][emoji120]
 
Shemeji wewe jiangalie tu. Ukiona unaamka usiku kwenda kumwagilia zaidi ya mara mbili. Mchana unamwagilia mara kwa mara halafu kimiminika kinatoka kiduchu tena kwa mbinde mpaka ujikamue kamue na hata kulinesesha nesesha sakisafoni. Kama presha ya kimiminika ni doro doro halafu hata ukimwagilia namna gani bado unahisi kama umeachiamo...basi jua kuwa tezi imeanza kuwa kubwa hiyo. Hii ni hali ya kawaida kwa wahenga. Ili kuwa salama inabidi uende kwa daktari ambaye atakutoa damu kiduchu mkononi na kupima protini moja korofi husika. Protini hiyo ikikutwa imo kwa wingi basi hiyo ni dalili kuwa pengine kutakuwa na kansa huko mbele ya safari au kansa ndo imeanza. Hapo itakubidi uende kwa oncologist kwa uchunguzi zaidi ikiwemo kutestiwa kidizaini. Kansa hii inatibika kwa zaidi ya asilimia 90 ikigunduliwa mapema. Ila ikigunduliwa kwa kuchelewa huwa haina simile kwa sababu ina tabia ya kusambaa katika maeneo mengine ya jirani ikiwemo mifupa na viungo vilivyo karibu. Ni mojawapo ya kansa yenye maumivu makali na yenye kutesa sana.

Kama protini hiyo ikikutwa imo katika kiwango cha kawaida basi daktari atakupa mazoezi ya kufanya na hata kukupa dawa na supplements za kumeza kuifanya tezi irudie hali yake ya kawaida. Na kinga mojawapo inayotajwa sana ni kukamua majipu kwa kadri inavyowezekana. Watu wanaokamua majipu angalau mara 21 kwa mwezi wana uwezekano mdogo sana wa kuipata kansa hii nyemelezi.

Na mojawapo ya tiba yake, mbali na chemotherapy ni operesheni. Operesheni hii mara nyingi huambatana pia na chemo na madhara yake ya pembeni hata ukipona ni kupoteza kabisa uwezo wa kukamua majipu permanently. Yaani mamisambwanda na mavitumbua manene vuguvugu yenye mafuta yaliyoumuka utakuwa unayafaudu kwa macho tu shemeji. Maisha yasiyo na faida !!!

Tujiangalie [emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…