Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

455928814_486339.jpeg
 
Niko safi kamanda. Actually niko hapa nafanya annual physical yangu. Huko kwako vipi? Lini ulifanya physical yako? Unajua kiasi chako cha lehemu, sukari, chumvi, mgandamizo wa damu, utendakazi wa figo, ini, moyo, tezi dume na mengineyo?

Hili swali linawahusu wanaume wote hapa. Huwa hatupendi kufanya uchunguzi wa afya zetu mpaka tukiwa hoi. Tubadilike !!!
Mimi shida yangu ni hapo kwenye TEZI dume... Nasikia ikisha jitokeza hiyo mambo ya kutumbua "jipu" ndo kwishinei kalega?!!!

Sasa kama mimi haya majipu jipu natamanigi niyatumbue hata kila siku ila sijapata bahati tu ya kuchekewa,mara paap tezi dume hili hapa... Nikitibu naweza kurudi kwenye kiwango changu cha pafomansi kama zamani?
Nifanyaje ili niepukane na Tezi dume?

Nakutegemea shemeji yangu, dada yako bado nampenda sana...
 
Back
Top Bottom