Unajua muujiza unatokea bila ya sisi kutarajia au pale tunapokuwa tumekata tamaa kabisa lakini ukweli ni kwamba kunakuwa na mchakato unaofanya muujiza utokee.
Kama muujiza wenyewe unaanzia ndani yako vipi kuhusu yale unayoyataka? Je yale maisha mazuri unayosemaga lakini huwezi hata kuyaelezea unafikiri yanatokeaji?
Msafara ukasimama Yesu akamfuata alijua kabisa huyu mtu ni kipofu na shida yake ni kupona lakini alimuuliza wataka nikufanyie nini? Hii inaonyesha kwamba lazima ujue unachokitaka ndipo upewe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.