The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
[emoji1][emoji1]SYB & Family [emoji7][emoji7]
[emoji1][emoji1]SYB & Family [emoji7][emoji7]
Moud habari za hapo Tarangire..?Tarangire National park View attachment 1198930
Umeipenda familia?[emoji1][emoji1]
Jizazi...If I tell you say I love you, o
My money my body na your own, o baby
Thirty billion for the account, io
Versace, Gucci for your body, o baby[emoji847]
Udandiaji wa treni za mizigo niachie miye kamanda. Sidhani kama una uzoefu huo na maisha ya kuwa kwenye iginoa list sidhani kama unayaweza [emoji16][emoji16][emoji16]Kikombe kinaandaliwa au ndo nishadandia train kwa mbele..[emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Ndiyo majira yake. Kimoja kwa jina Dorian kimeacha balaa huko visiwani Bahama na sasa kipo huko kinasalimiana na watu wa South Carolina na Virginia huko. Pamoja na matekinolojia yetu, kama binadamu bado maza necha anatutawala....na tunaendelea kumkorofisha na uharibifu wetu wa mazingiraVipi msimu wa vimbunga huko
Niko safi kamanda. Actually niko hapa nafanya annual physical yangu. Huko kwako vipi? Lini ulifanya physical yako? Unajua kiasi chako cha lehemu, sukari, chumvi, mgandamizo wa damu, utendakazi wa figo, ini, moyo, tezi dume na mengineyo?[emoji1787][emoji1787] hali yako Kamanda
Nimeipenda sana, iko very lovely [emoji23]Umeipenda familia?
[emoji125][emoji125]Nikikuona nawakumbuka kumbikumbi wa Ileje[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ni kweli, kama mimi huku hata sifuati likes...nafuata company ya marafiki
Unajua kuwa hao watoto (as usual) ni twins? [emoji16][emoji16][emoji16]Nimeipenda sana, iko very lovely [emoji23]
Hatakaa awasahau kumbikumbi. Poor Khantwe. AngeRIP sijui ingekuwaje. Yote kwa yote Mungu ni mwema sana [emoji1545][emoji1545][emoji125][emoji125]Nikikuona nawakumbuka kumbikumbi wa Ileje[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tanzania yetu[emoji445]Tarangire siyo mchezoView attachment 1198936
[emoji23][emoji23][emoji23] tulia dogo[emoji125][emoji125]Nikikuona nawakumbuka kumbikumbi wa Ileje[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]