Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna watu wanaoamini kuwa kipimo hicho huenda ni propaganda ya kueneza ushoga. Wanasema haiwezekani mpaka leo hii kwenye tekinolojia za kila aina watu waendelee kupigwa madole. Wenyewe wanadai kuwa upimaji wa aina hii ndiyo cheap na unaweza kufanyika popote badala ya kutumia vipimo vingine vya gharama kubwa kama MRI. Na huwa wanatolea mfano pia wa uchunguzi wa kansa ya utumbo ambapo mtu unaingiziwa limrija lenye kamera kabisa huko chini...[emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Mweee!!! Maisha ya hapa duniani yana gharama kubwa na za ajabu sana.
Ahsante kwa darasa ulilo tupa ndugu yangu. Hizi afya zetu bila kuzipitia pitia kwenye uangalizi tutaishia kufa bila hata taarifa.
Kulijua tatizo mapema inasaidia sana kukabiliana nalo au kulipokea na kuacha maisha mengine yaendelee kama yalivyo pangwa.
Sijutii kuwepo kwenye uzi huu maana elimu niipatayo humu ni zaidi ya ile ya chuo kikuu.
Ubarikiwe sana [emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…