Kwahiyo humu nikupeana "Likes" tu sio ?
Na kusalimia piaKwahiyo humu nikupeana "Likes" tu sio ?
Alaa ! Nakusalimu mrembo wa kani.Na kusalimia pia
[emoji120][emoji120]
Duh!!*Huu ni upumbv sana!!*
*YANI SABUNI IMEANDIKWA RUNGU NA WEW UNAOGEA UNAIPITISHA PITISHA HADI MATAKONI KWEL???[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]*
babu shimba ya buyenze hajafika hayo maeneo ya Tanga?Maombi yenu.
Nipo Tanga ndugu zangu,
Mniombee nikumbuke kwetu![]()
![]()
Sijambo sana, uko poa?
[emoji23][emoji23][emoji23] me nakuombea ubaki huko huko ili uendelee kula raha
[emoji23][emoji23][emoji23] me nakuombea ubaki huko huko ili uendelee kula raha
Kwahiyo humu nikupeana "Likes" tu sio ?
Weekend iwe njema kwetu wooote
😂😂 wanasemaga Tanga raha, sasa mkuu si ule hizo raha kidogo ili siku ukianza kuzichoka ndio Na sisi huku tuanze MaombiNionee huruma[emoji23][emoji23]
Naona dalili baada ya kula raha nitageuzwa mbuzi wa shughuli[emoji1787][emoji1787]
babu shimba ya buyenze hajafika hayo maeneo ya Tanga?
ngoja aje mwenyewe atoe uthibitisho,[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwa ninavyojua tabia za ngosha zilivyo, akikanyaga hapa kurudi kwao ni majaliwa[emoji1787][emoji1787].
Wenyeji hapa wana msemo "Kuingia tanga arusi kutoka matanga"
Yaani kuingia rahisi, kutoka ni shida[emoji2089][emoji2089][emoji2089]