Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,500
- 13,145
😁😁😁 Anko bwana! Majina unayotupachika! Mi nashukuru Mungu kwa afya aliyonipa.. Wewe u Mzima Mwakaleli huko?Binti machachari upo? Habari za siku nyingi?
🤣🤣🤣[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1200162
🤣🤣🤣🤣Dah jamanii.. Pole na starehe MoudyMaombi yenu.
Nipo Tanga ndugu zangu,
Mniombee nikumbuke kwetu[emoji23][emoji23]View attachment 1200446
kuna mpemba mmoja alirudi nyumbani kwake na kichwa tu.😂😂 wanasemaga Tanga raha, sasa mkuu si ule hizo raha kidogo ili siku ukianza kuzichoka ndio Na sisi huku tuanze Maombi
😁😁😁Natakiwa nikurudishie na mimi haka kadude?[emoji8]
Eeh alirudi na kichwa? Kiwiliwili aliacha wapi? Au ndio kilibaki Tangakuna mpemba mmoja alirudi nyumbani kwake na kichwa tu.
pumbavu zake after 2 days malaika mtoa roho akapiga misere kitaani.
kiwiliwili kilitafunwa na samaki mtu bahari ya TangaEeh alirudi na kichwa? Kiwiliwili aliacha wapi? Au ndio kilibaki Tanga
Oh! Me naogopaga hayo mambo 🙈 basi usiniambie tena nisije kuota usikukiwiliwili kilitafunwa na samaki mtu bahari ya Tanga
teh teh tehOh! Me naogopaga hayo mambo 🙈 basi usiniambie tena nisije kuota usiku
ngoja aje mwenyewe atoe uthibitisho,
huenda akawa ndiye ngosha pekee aliyerudi tanga na mtaji wake wote wa biashara
[emoji16][emoji16][emoji16] Anko bwana! Majina unayotupachika! Mi nashukuru Mungu kwa afya aliyonipa.. Wewe u Mzima Mwakaleli huko?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dah jamanii.. Pole na starehe Moudy
ameen kwa wote