Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwaheri Crescentius Magori, Karibu Senzo Mazigingiza
FB_IMG_1567860106021.jpeg
 
Ndiyo hivyo, ukiona mwenzako anatoka nje ya ndoa jua kabisa tatizo liko kwako, hujampa kile anachotaka, unajua huyo ni mteja wako hivyo usipompa kile anachokitaka ataendelea kukaa na wewe? Lazima ataenda sehemu ambayo atapata kile anachokitaka.
".......,unajua huyo ni mteja wako hivyo usipompa kile anachokitaka....."
Umesomeka vizuri sana Anko.
Hizi ndoa zetu kuna haja ya kuzi-reform ili upendo wa kweli upatikane
 
Back
Top Bottom