Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

464013356_126094.jpeg
 
Health is Wealth
Fish is not the only source of omega 3 fats.
You can increase your omega 3 fat intake by consuming flax seeds, walnuts, soy beans and many other sources.
 
Health is Wealth
Aloe Vera is RICH in Vitamin E and is helpful in making your skin better.
Moreover, applying Aloe Vera on your Hair Daily will reduce Hair Loss and prevent Baldness!
 
Wakala Raiola ametumia muda mwingi wa dirisha la uhamisho wa wachezaji la majira ya kiangazi huko Ulaya kudai mteja wake anataka kuachana na maisha ya Old Trafford.
Kiungo huyo Mfaransa, Pogba naye kuna wakati alikiri anataka kwenda kukumbana na changamoto mpya jambo lililozifanya Klabu za Real Madrid, Paris Saint-Germain na Juventus kuanza kuifukuzia huduma yake.
 
Gazeti la L’Equipe linaripoti Makamu Mwenyekiti wa Man United, Ed Woodward amewasiliana na Raiola ili kumaliza biashara mapema, akitaka kumpa Pogba dili jipya baada ya kuachana na Sanchez, aliyekuwa akimlipa Pauni 505,000 kwa wiki na Lukaku, iliyempiga bei kwa Pauni 73 milioni.
 
Wakati hao wote wamekwenda Inter Milan, lakini Sanchez akibebwa kwa mkopo.
Kaka yake Pogba, Mathias amekuwa akiisema vibaya Man United kwamba staa mwenye jina kubwa kwenye timu hiyo kwa sasa ni David De Gea tu, hivyo ndugu yake anapaswa kwenda kucheza timu yenye mastaa wengi, akiitaka Real Madrid kumsajili.
 
Back
Top Bottom