moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
".......,unajua huyo ni mteja wako hivyo usipompa kile anachokitaka....."Ndiyo hivyo, ukiona mwenzako anatoka nje ya ndoa jua kabisa tatizo liko kwako, hujampa kile anachotaka, unajua huyo ni mteja wako hivyo usipompa kile anachokitaka ataendelea kukaa na wewe? Lazima ataenda sehemu ambayo atapata kile anachokitaka.
Then, usinywe ili ueleweke.Wake zetu hawatuelewi tukinywa pombe
Hawashindwi ja technologia yaoNdiko tunakoelekea [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1200899
πππ