Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,481
- 167,331
Fedha na dhahabu ni mali yakeNitakufundisha na kukuongoza jinsi ya kupata utajiri
Fedha na dhahabu ni mali yakeNitakufundisha na kukuongoza jinsi ya kupata utajiri
DadanguSingida
Quigley kaka... mambo vipiDadangu
Nothing..What happened?
Nina moto balaa. Utaniona tu huko Desemba!Karibu mkuu
Abee rafiki.. Tel meMahondaw
Ushindwe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jingine dowezi lisiloridhika hili!
HaiHai waungwana
Yeye ni dada yangu kwa hiyo wewe ni shemeji yangu kama alivyo Andjul kwa Nsamaka na huyu mtembea popote Kichwa Kichafu kwa Sammyluv. Mkwilima ni mkwe yaani wewe umeoa dada yangu nyumbani kwetu mamangu ndo atakuita Mkwilima yaani son in law. Kwa Kisukuma anaitwa Nkwilema/Nkwilima. Baby S hakukuelewesha haya mambo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio hivyo so kukuita mkwilima ni vibaya???
Likes kwa fujooHaya twendeni mwendo ule ule
Lala salama kamanda!Wakuu niwatakie usiku mwema na Mungu wa rehema nyingi awalinde woote na kesho majaaliwa tuamke salama.
Upo wapi weye??Ujumbe huu umfikie Kichwa Kichafu!![]()
Nipo hapa hapa nakula likes na kugawa likes. Au unamuulizia Kichwa Kichafu. Kama ni Kichwa Kichafu basi weka manicure safi vidole vipendeze tayari kwa kuvishwa pete ya uchumba![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Upo wapi weye??