Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mkuu acha utani. Mara yangu ya kwanza kabisa kupanda ndege Mwanakoromije nilipanda kwenda Boston. Sikujua kumbe ilikuwa ni wakati wa baridi. Kudadadeki kidogo nigeuze. Barafu inaanguka 7 days non stop yaani ukitoka nje hewa baridi inakuchoma mpaka mapafu. Sitasahau!Wadau usiku mwema baridi ya huku si mchezo