Gazeti la L’Equipe linaripoti Makamu Mwenyekiti wa Man United, Ed Woodward amewasiliana na Raiola ili kumaliza biashara mapema, akitaka kumpa Pogba dili jipya baada ya kuachana na Sanchez, aliyekuwa akimlipa Pauni 505,000 kwa wiki na Lukaku, iliyempiga bei kwa Pauni 73 milioni.