capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Nangojea bomu lilipuke,kuna wajinga wamesha anzisha mpango wa kuchomoa betri mapema yote hii, wanataka ukomo wa raisi uondolewe.
yule mwengine alitaka muhula wa uraisi uwe miaka 7.
is it a coincidence or fate?
jamaa huenda akaongoza round tatu mfululizo.Nangojea bomu lilipuke,
Meza dicloparMpendwa maji ya baridi nijuavyo yanazidisha maumivu unaweza kuhimili vipi,Aisee Jamanii jino linauma vibaya βΉβΉβΉ
Pole Mamy, ni jino la wapi?Naumwa jino mpendwa hatari hata simu kushika naona shida.
Nilikuwepo
Muwe na usiku mwema
ππ yaani we acha tu, mambo magumu ndio mana nimerudiSis naona usingizi unasuasua
hahahahahahah
Mwenyezi Mungu atulinde sote
Ahsante,Wapendwa usiku mwema ngoja nipambane na hali yangu π«π«.