Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Nimekaribia
Naona watu hamzimi data
No hii ni inshu nyingine bwanaFanya mpango wa kamziki.
#cappuccinoEffects
Ooh kumbe!!Tuzime ili iweje, tena una bahati umekuja wakati huu watu wamechoka kulikes, siku za nyuma watu walikuwa hapa mpaka alfajiri
Ooh kumbe!!Tuzime ili iweje, tena una bahati umekuja wakati huu watu wamechoka kulikes, siku za nyuma watu walikuwa hapa mpaka alfajiri
Jino ngoma nzito ile [emoji23][emoji23]
Issue gani hiyo?No hii ni inshu nyingine bwana
Fake au cheñyewe hicho?
Amina.Namshukuru Mungu sijawahi ugua maradhi hayo (Mungu anilinde nayo)[emoji120][emoji120]
Ooh kumbe!!
Basi na me Leo nahisi nitakesha hapa