Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
JF ingekuwa gazeti la udaku.
Just assume JF tungekuwa na gazeti letu la Udaku kama Kiu, uwazi n.k Vichwa vitasomeka hivi. 1. Week zapita sasa X wa mgangaa mashuhuri JF kitoonekana jamvini 2. Dau la kuhonga lakonga mioyo ya wanawake wa JF (7800). 3. 7800 yazua kizaa zaa. 4. Wanaume wa JF wakesha kuomba kama Paulo...