Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndio hivyo so kukuita mkwilima ni vibaya???
Yeye ni dada yangu kwa hiyo wewe ni shemeji yangu kama alivyo Andjul kwa Nsamaka na huyu mtembea popote Kichwa Kichafu kwa Sammyluv. Mkwilima ni mkwe yaani wewe umeoa dada yangu nyumbani kwetu mamangu ndo atakuita Mkwilima yaani son in law. Kwa Kisukuma anaitwa Nkwilema/Nkwilima. Baby S hakukuelewesha haya mambo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Upo wapi weye??
Nipo hapa hapa nakula likes na kugawa likes. Au unamuulizia Kichwa Kichafu. Kama ni Kichwa Kichafu basi weka manicure safi vidole vipendeze tayari kwa kuvishwa pete ya uchumba![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…