moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Wadada zetu hawa wanavyopapatikia wazungu si ajabu mzungu na maua yake ndo akatwaliwa. Kwenye uhalisia namba 3 ndiye atashinda kwa hali ya sasa. Huyo aliyeshika kifua mpaka namhurumia [emoji16][emoji16][emoji16]
namba 1 anatokea wapi?
anaomba mechi ya kirafiki na msichana from kolomijee huku amepiga magoti kama anamwomba mtakatifu yesu kristo
hahahahahahahah,😂😂 yaani we acha tu, mambo magumu ndio mana nimerudi
Jino ngoma nzito ile 😂😂Ahsante,
Ugue pole.Pakikucha umuone dentist aisee.
#maumivuYaJinoYaSikioSioYaKitoto
Mpendwa linauma siku mbili sikupitiwa na usingizi,leo nimeweka karafuu kidogo limepoa.
Unanicheka 😂🚶hahahahahahahah,
Uzuri ni wkend pia....
Ushacheza ngoma ya sikio lakini?Jino ngoma nzito ile 😂😂
kunywa vinywaji baridi lizidi kukuletea maumivu.
dawa ya moto ni moto ndivyo wasemavyo waswahili
hamna, nimefurahi tuu.Unanicheka 😂🚶
SijawaiUshacheza ngoma ya sikio lakini?
Nikiweka mziki hapo ndio dk 0 tu nasinziahamna, nimefurahi tuu.
#wekaTumzikiTwaKubembelezaUtalala
Kwa hisani yako SYB, angalia fake hiyoView attachment 1201187
Ni kweli, jino namba 29 hadi 32 yanauma sana.Sijawai
Ila ninaimani ya jino ni komesha tena zikiwa zimezingua zile wisdom teeth
Meza diclopar